Mwaka 2020 ni mwaka ambao
unagawanyika kwa nne katika kalenda ya Kirumi iliyoanzishwa na Julius Caesar.
Hivyo utakuwa ni mwaka
mrefu Mwaka huu unaanza siku ya leo Jumatano kwa mujibu wa kalenda ya Gregori.
Itakumbukwa kwa sasa
kalenda ya Gregori imekuwa ikitumiwa maeneo mengi ulimwenguni katika shughuli
za kiharakati, kiofisi na kiutawala. Mwaka 2020 ni mwaka wa 20 katika millennia
ya tatu baada ya mwaka wa Bwana Anno Domini (AD).
Pia mwaka 2020 ni mwaka wa
20 wa karne ya 21 na ni mwaka wa kwanza katika muongo wa pili.
0 Comments