Inaweza kuwa Dhoruba sasa, lakini Mvua haidumu milele


Hapa kuna ukweli wa kusikitisha: MAISHA ni mapambano. Itakunyong'onyeza, na itajaribu kukuvunja moyo tena na tena. Na unapofikiria kwamba mambo yanakuwa bora, maisha yatakurudisha chini zaidi. Ili kukusaidia kuwa na nguvu na ustahimilivu kupitia shida za maisha, TAMBUA kuwa....

Kuna mithali ya Kijapan inasema Anguka mara Saba, Nyanyuka mara nane. Unayemuona bora kwa sasa unapaswa KUTAMBUA kuna nyakati ambazo alikuwa MNYONGE zaidi. 

Simama IMARA, mambo yatakuwa sawa. Inaweza kuwa na dhoruba sasa, lakini mvua haidumu milele.

Nakupenda sana mdau wangu wa nguvu; Together, Tunawakilisha

@EATV 2023
















































































Post a Comment

0 Comments

Total Pageviews