Asumin J. Mking'imle: In memory 1988-2008

Mwezi Februari umemalizika tena, lakini huwa sisahau siku uliyozaliwa; licha ya kwamba umetangulia mbele ya haki ikiwa ni miaka 12 sasa lakini bado nakukumbuka mdogo wangu Asumin. Uliondoka bado ukiwa unahitajika. Sisi ni wazima wa afya, wanao wanakusalimu James na Judith (sasa ni wakubwa), ndugu jamaa na marafiki bado wanakukumbuka mno. Nasi nyuma yako. #Asumin1988-2008; #PamojakwaUmoja

Judith na James Method Kiwale katika picha ya pamoja mjini Makambako

 

 

 

Post a Comment

0 Comments

Total Pageviews