There is NO small or big sin, and you may wonder what sin is?

HAKUNA dhambi ndogo Wala kubwa, Na unaweza kujiuliza dhambi ni Nini? Jibu rahisi ni kwamba umeshindwa kufuata namna muanzilishi wa mfumo anayefahamika Kama jina la YAHWEH.

Mfumo wake ukoje? Mfumo wake ndio huu Ajuaye kutenda Jambo jema asipolitenda hiyo ni DHAMBI. Swali linakuja? Jambo jema ni lipi?

Post a Comment

0 Comments

Total Pageviews