Mwenyezi Mungu katika lugha ya Kiswahili ni jina linalotumika
kwa Muumba wa kila kitu, Mwenye kuabudiwa kwa haki, kinyume na neno mungu
ambalo linamaanisha chochote au yeyote anayeabudiwa ikiwa kwa haki au si kwa
haki. Neno Mwenyezi linaunganisha ‘Mwenye’
na ‘enzi’ na kumpatia Mungu sifa ya kuweza yote, bila kuzuiliwa na yeyote wala
chochote.
0 Comments