Mambo huwa hayaendi upendavyo katika soka: huwa kuna nyakati nzuri na mbaya. Kila mwisho wa kila siku ndio wakati muhimu zaidi wa siku hiyo kwa sababu unakabiliana na mambo yako ya zamani na unapata nafasi ya kesho kutorudia makosa yako ya zamani!
Mwisho wa siku, bila wewe oh, Mungu! Maisha yanakuwa safari ya huzuni Duniani.
Poleni Moshi Veterans Club, wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki
REST IN PEACE Hamza a.k.a MKATA,
0 Comments